Thursday, 28 April 2022
KIVUKO CHA MV.PALMA CHA ZINDULIWA RASMI MWANZA
.jpg)
Serikali ya mkoa wa Mwanza jana Aprili 27 imezindua rasmi kivuko kipya cha MV. Palm mali ya Serikali ya Uganda kilichojengwa na kampuni ya kitanzania ya Songoro marine ya jijini Mwanza.–Kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba abiria 500, gari kubwa 34 na...
Wanafunzi Wa Kidato Cha Kwanza Sasa Kuripoti Shuleni Mei 4 Badala Ya Mei 3

Picha (Getty images).NA CHARLES WASONGAWIZARA ya Elimu imeahirisha tarehe ambayo wanafunzi wa kidato cha kwanza wanatarajiwa kuripoti katika shule za upili walizoitwa kujiunga nazo.Katika taarifa iliyotumiwa walimu wakuu wa shule za upili na Chama cha...
AJALI YAUA WATU 8 NA KUJERUHI 19
.jpg)
AJALI YAUA WATU 8 NA KUJERUHI 19Watu wanane wamefarikia dunia na wengine 19 wamejeruhiwa katika ajali ya gari (Coaster T 287 CCY) mali ya Kanisa Katoliki Njombe iliyogongana na lori la makaa ya mawe, RPC Njombe, Hamis Issah amethibitis...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUPOKEA MWILI WA MBUNGE WA VITI MAALUM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 27, 2022 amewaongoza waombolezaji kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma. Mheshimiwa Spika Dkt. Tulia Ackson (kulia kwa Waziri Mkuu) pia...